MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, January 22, 2015

LIPS SAHIHI ZINAHITAJI LIPSTICK SAHIHI "JORDANA LIPSTICK"

UKIZUNGUMZIA LIPSTICK ZENYE VIWANGO AMBAYO HAITAKUBABUA LIPS UKAPAKA UKAPENDEZA BASI HII NAIPA 100/100. INAITWA JORDANA IKO VIZURIII MNOOO MNOOO

WENGI MNAPAKA LIPSTICK KWA MKUMBO BILA KUJUA MADHARA UNAYOWEZA KUPATA HASA UKIPAKA SANA HIZI DRY AKA LIPSTICK KAVU...HII SIO KAVU NI YA KAWAIDA ITAKAYOACHA LIPS ZAKO ZIKIWA MOISTENED LAKINI PIA IKILAST MUDA MREFU!!

No comments:

Post a Comment