MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, August 26, 2013

>>>UNAPOTAKA KUZUIA STRETCHMARKS TUMIA HIZI!!

WENGI TUMEKUWA TUKIPAKA EITHER ZOTE AU MOJA WAPO KATI YA HIZI KUTIBU MICHIRIZI LAKINI PASIPO KUONA MATOKEO!!SABABU NI KWAMBA HIZI HUSABABISHA NGOZI KUWA LAINI KITU AMBACHO HUFANYA MICHIRIZI ISIENDELE KUTOKEO LAKINI ILE ILIYOPO HUBAKI VILE VILE,HIVYO IZI HUTUMIKA KUKINGA NA SIO KUTIBU!!!!!!

No comments:

Post a Comment