![]() |
| Umegundua Tofauti? Je izi #skintherapy zimekuwa zikikuchanganya?? Ipi huwa unatumia zaidi? Ok ni hivi; Kama ulikuwa unatumia hii skin therapy oil kubwa kwa usoni either kwa kujua ama kutokujua basi ulikuwa unakosea! Sasa kuna FACIAl skin therapy Hii ni mahsusi kwa ajili Ya ✔mikunjo ya usoni ✔mabaka ✔rangi mbili 🔓 Recommended for all skin types. Pia inapendeza na inafaa sana ukiwa unazitumia in collaboration na kitu chako flani amazing... matokeo yake hutojutraa |

No comments:
Post a Comment