| STOCK TAKING IKIENDELEA... |
| WALE WAKUNUKIA KIDESIGNER DESIGNER HATUWEZI KUWAACHA!!MAMBO YENU YAPO.. |
| WALE WA KUPIGA MSASA NGOZI ZAO ILI ZISIFUBAE VITU VILIVYOTHIBITISHWA HIVI HAPA!!INAITWA ETREME GLOW MAMBO YAKE YANAKUBALIKA SAAANA TENA SAAANA!!! |
| OTETINKA AMEKUJA KUFANYA MAPINDUZI!!AMA KWA HAKIKA KAZI YAKE IMEONEKANA!!AYA WALE MLIOKUWA MMEKOSA SASA ZIMEFIKA SET KAMILI!!! |
| SET KILA IDARA!! |
| KUNA HAJA YA KUTUPIA NENO!!HAYA KIBOKO YA YAO WANAOTAKA KUPUNGUZA NYAMA ZA ZIADA!! |
| BAADA YA MAOMBI MENGI KUTUA MEZANI,NIMEWALETEA MAFUTA YA UKWELI KWA AJILI YA NYWELE ZENU!!KAMA KAWAIDA WEE JARIBU TU VITU TOFAUTI UPATE UZOEFU TOFAUTI!! |
| IDARA YA KUWEKA NGOZI YA USO SASA KAMWE HAIWEZI KUSAHAULIKA!!!CHUNUSI ZINATIBA NA TIBA NI KUJUA UZIPE NINI NA WAKATI GANI!! |
| IDARA YA MICHIRIZI TUNAE SKINCEPTION NAE AMEFANYA KAZI KUBWA SAANA!TENA SAANA!! |
No comments:
Post a Comment