MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.
Thursday, December 8, 2016
LOOKING FOR CETAPHIL MOISTURIZER&CLEANSER??
Thursday, November 24, 2016
Thursday, November 10, 2016
THEY CALL IT CHOCOLATE COLOUR MASTER!!! #OTENTIKA
JE CHUNUSI KWAKO ZIMEKUWA SUGU!!ZINAKUSUMBUA WEEEE???
Thursday, October 20, 2016
LEO TULITEMBELEWA NA MSANII LINA KWA AJILI YA KUWEKA NGOZI YAKE MWANANA!!
THE BEST THERAPY FOR YOUR BODY IS HERE!! #SKINTHERAPY OIL
![]() |
With cocoabutter& Vit E
—Unaijua? Hii #Palmers #skintherapyoil ??? Formulated to Help improve the appearance of:- #scars #stretchmarks #dry, damaged skin #Uneven skin Tone #Aging Skin |
KAMA hUTUMII SUNSCREEN KWA JUA HILI JIFIRIE MARA MBILI!!!
Kama kuna Kosa unalifanya kuhusu muonekano Wako!
Basi KUTOKUTUMIA #sunscreen ni kosa Lako la Kwanza.
Jus imagine Jua la sasa lilivyo KALI💯 Waka kama MOTO
🔥
Alafu hujaaply kitu chochote cha kublock Mionzi mikali ya Jua, Pengine umepaka Kilotion chako Flani unakiamini unasubiri uone kangozi kashine aysee Hautaona Matokeo yoyote na Kama ulishaanza kushine Utaona sasa Unafubaa tarataribu!!!
KWANINI?
NI kwasababu mionzi inayokupiga moja kwa moja inafifisha Ngozi.
CHA KUFANYA..
Anza/Jifunze matumizi ya #sunscreen ni muhimu sana kwa muonekano bora wa Ngozi yako.
N:B Kwa Wale wanaotumia Lotion/Creme Kali matumizi ya #sunscreen ni lazima kuliko unavofikiria kwani kinyume Chake ndio utaona Uso hasa sehemu za Macho unapata Weusi unaojulikana sana KAMA #darkcycle.
Njoo Ujipatie #Neutrogena
#sunscreen spf 70-110.
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
Basi KUTOKUTUMIA #sunscreen ni kosa Lako la Kwanza.
Jus imagine Jua la sasa lilivyo KALI💯 Waka kama MOTO
Alafu hujaaply kitu chochote cha kublock Mionzi mikali ya Jua, Pengine umepaka Kilotion chako Flani unakiamini unasubiri uone kangozi kashine aysee Hautaona Matokeo yoyote na Kama ulishaanza kushine Utaona sasa Unafubaa tarataribu!!!
KWANINI?
NI kwasababu mionzi inayokupiga moja kwa moja inafifisha Ngozi.
CHA KUFANYA..
Anza/Jifunze matumizi ya #sunscreen ni muhimu sana kwa muonekano bora wa Ngozi yako.
N:B Kwa Wale wanaotumia Lotion/Creme Kali matumizi ya #sunscreen ni lazima kuliko unavofikiria kwani kinyume Chake ndio utaona Uso hasa sehemu za Macho unapata Weusi unaojulikana sana KAMA #darkcycle.
Njoo Ujipatie #Neutrogena
#sunscreen spf 70-110.
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
Thursday, October 6, 2016
WHICH SCENT IS YOUR FAVOURITE AMONG THESE?
THE SOLUTION FOR YOUR ACNE IS HERE!!
KIBOKO YA MVI SASA INAPATIKANA #AKCOSMETICS
JE UNASUMBULIWA NA TATIZO LA MELASMA!!
![]() |
| HII ndo Shughuli ya #meladerm✔ Kama uso wako umepatwa na kitu cha namna hii Au unamfahamu mtu anatatizo la namna Hii ambalo hujulikana zaidi kama Melasma, Basi Mshauri Aje Kwetu atuone tumpe Solution yake. #meladerm Imethibitishwa na wataalam kwakuwa imetengenezwa na viungo asilia visivyo na kelele na wala Kukubadilisha Rangi. Wahi ZIKO Chache! @ak_classic_cosmetics Tunapatikana #mlimanicity Opposite #subway #universityroad #call&whatsup0753482909 #Door2Doordelivery Wamkoani tunawatumia kwa bus |
Thursday, September 22, 2016
#Newarrivals @ak_classic_cosmetics #Mlimanicity
Karibu sana #akclassicosmetics tumeshusha mzigo mupyaaaa.kuanzia nywele, bidhaaa za nywele, bidhaa za ngozi, bidhaa za Chunusi, bidhaa za kung'aza. KARIBUNI SANA. #0753482909
Je una chunusi Sugu zinakusumbua mara kwa mara??
Hii ndo #acnefreeclearingsystem kiboko ya chunusi sugu zinazopenda kujirudia. Kama una chunusi na umeshatumia vitu vya kila aina lakini hupati matokeo mazuri kiboko yake hii hapa...njooo #akclassic0753482909 tutatatua changamoto Hii.
Thursday, September 15, 2016
MTOTO WA KIKE KUFUBAA INAHU?
Friday, September 9, 2016
WEEKLY CUSTOMER'S BEST CHOICE THIS WEEK!!
Thursday, September 8, 2016
COCA BUTTER YA AJABU!! #AMERICANDREAM
![]() |
| Kama mjuavyo utumiaji wa #cocoabutter✔ wa mara kwa mara husaidia kuondoa taraaatibu michirizi itokanayo na Ujauzito, pia Cocoa butter hutibu Ngozi kavu kupitiliza. ZAIDI na zaidi matumizi ya #Cocoabutter huifanya Ngozi iwe nyororo na Ng'avu. Basi Bana Baada Ya Ile INGINE tuliyoizoea wamekuja na Hawa #AmericanDream Cocoabutter Cream. ✔Hawa kwanza wameichukua ileile #cocoabutter wakaongezea kitu kinaitwa VitaminE (nishaielezea sana hii humu) balaa lake!! Kisha hii wamepunguza kwa Kiasi kikubwa yale Mafuta yanayokufanya ukipaka Ile uwe kama Kitumbua😅😅 ✔Kutokuwa na Mafuta kunafanya hii tuipe 🚦 ( Greenlight) kupaka usoni. Wale ndugu zangu wa OIL + sensitive skin bado tutaitaji kushauriana Zaidi. ✔Wale Wenye Ngozi kavu kuliko kawaida hapa, yaani mtu Anakwambia anapauka mpk basi iwe shauri ya Hali ya hewa ama Asili yako, aisee hii kwa Ajili yako✔!! SASA nnao Kwa Shop #Mlimanicity Opposite #subway |
Subscribe to:
Posts (Atom)




















