MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.
 |
KATI YA PRODUCTS ZA PALMERS ORIGINAL NARUDIA TENA ORIGINAL KUTOKA KWA MWENYE JINA USA AMBAZO ZIMEKUWA NA IMPACT KUBWA MWILINI BASI HII NAYO INAINGIA KATIKA ORODHA,HUSAIDIA KULAINISHA NGOZI KUNDOA MADOA DOA NAKUICHA NGOZI MWANANA NA NYOROROO KABISAA !! |
 |
INAITWA NATURAL BARE HAIR REMOVER,HONDOA VINYWELEO VYOTE NA KUICHA NGOZI IKIWA SAFI NA FRESH!!IJARIBU... |
 |
PONDS NI BIDHAA AMBAZO ZIMEKUWEPO TOKA ENZI ZILE,KUHUSU UBORA TU HAMNAGA SWALI!!JARIBU UONE |
 |
The natural ingredients of Lehcaresor Papier Poudre®
have special absorbent qualities for cleansing the pores, lifting oil,
dust and dirt from the skin, and soak up excess oils to keep your face
looking fresh and natural, removing shine, and leaving a delicate trace
of powder and an instant matt finish to make up. |
 |
Loreal Cleanser and powder,Baada ya kusafisha ngozi kwa kawaida cleanser maara baada ya matumizi huacha njia za kupumia wazi,lakini kiutaalam zile njia zinatakiwa kuzibwa zikae wazi kwani zikikaa wazo vile nazo pia huchangia kusababisha muonekano mbaya!! |
 |
Toner za aina tofauti tofauti ambazo pia zimekuwa approved na wataaalm wa magonjwa ya ngozi(dermatologist) zinaoatikana @AK classic. |
 |
VILE VIKARATASI MAHUSUSI KWA AJILI YA KUWEKA NGOZI YAKO SAWA HASA KWA WALE WENZANGU TULIO NA NGOZI ZA MAFUTA SANA,VIMEFIKA,KAZI KWENU.UNAPOKUWA NA HII HUITAJI KIOO WEWE NI KUFUTA TU USO WAKO,NGOZI UNASHANGAA YENYEWE IMEJIRUDI SAAAFI KAMA VILE NDIO KWANZA UMETOKA KUPAKA POWDER!! |
 |
MARA NYINGI BAADA YA KUTIBU CHUNUSI HUWA ZINAACHA ALAMA ALAMA (SPOT),NA NGOZI ILIYOFUBAA,MELADERM HUTUMIKA KUREKEBISHA NGOZI NA KUWA NA RANGI MOJA(EVEN SKIN TONE).IMEKUWA PRODUCT INAYOUZWA SANA MAGHARIBI KULIKO PRODUCT NYINGINE YOYOTE TOKA 2004. |
 |
HAPO UTAKUTANA NA NOURISHING,VOLUMINIZING,PLUM IT UP,SUPER FLIRT,DEFINITION NA WATERPROOF MASCARA!! |
 |
Karatasi limetolewa lakini haki zote zimehifadhiwa!! |
 |
KAMA ULISHATUMIA MIST MOJAWAPO KATI YA HAYA MAJINA BASI SASA UNAWEZA PATA PERFUME KABISA KATIKA UJAZO MDOGO NA BEI NAFUUU SANA!!UNANGOJA NINI? |
 |
WENYEWE WATALAAM WANAKWAMBIA UKITAKA MAKE UP IKAE MWAKE MWAKE SHURTI UANZE NA PRIMER,HII HUINDAA NA KUIWEKA TAYARI NGOZI YA USO WAKO ILI POWDER NA WENZIWE WAKAE VIZURI ILI UONEKANE MTOTO NATURALL |
 |
2 IN 1 |
 |
JAMANI HII KITU UZURI WAKE NI KUIONJA TU WALA SINA MANENO MAZURI ZAIDI YA HAYO! |
 |
The Softsoap Body Butter-Body Buff
Wash is designed for daily use. The ultra-rich formula with jojoba
butter and crushed coconut extracts gently exfoliates your skin. This
coconut scrub body wash renews your skin's surface, while retaining
the moisture. This jojoba butter body wash is a moisturizing body scrub
suitable for all types of skin that include dry, oily, and normal. To
use this coconut scrub body wash, squeeze a small amount into a Loofah
and work out a rich lather in your body. Rinse with water and experience
a rich fragrance for the rest of the hours. |
 |
ITS CALLED ULTRA GLOW HII HUNG'ARISHA NGOZI BILA KUICHUBUA NA KUIFANYA ITOKEE KICHOCOLATE CHOCOLATE,ZAIDI HII IMEONGEZEWA SUNBLOCK,ILI KUILINDA HIYO CHOCOLATE ITAKAYOKUWA IMELETWA!! |
 |
ULTRA GLOW FADE CREAM THIS IS FOR NORMAL SKIN WITH NO SUNSCREEN!! |