MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, October 8, 2012

>>>AYA JAMANI BAADA YA KUINGIA MAOMBI MENGI KUHUSU HII KITU SASA NIMEILETA DUKANI @AK COSMETICS

FACIAL CLEANSING BRUSH


HUONDOA UCHAFU,MAFUTA & MAKE UP USONI KUUACHA USO UKIWA KATIKA HALI NZURIIIIIIIIIIIIIII!!

>>>TANGAZO TANGAZO; CLEARENCE SALE @AK COSMETICS 50% 0FF

YOU CAN GET THIS @ 40,000

HAVE IT FOR 35,000 INSTEAD OF 70,000

HAVE THIS FOR ONLY @35,000

GRAB URS @40,000

Tuesday, October 2, 2012

>>BAADA YA MIZUNGUKO YAKO YA KUTWA UNASHAURIWA KUFANYA HILI:-

CHONDE CHONDE KAMA UNAUPENDA USO WAKO KAMWE USILALE NA HIZO MAKE UP ULIZOJISHINDILIA KUTWA NZIMA,USIKU NGOZI INAHITAJI KURELAX VINGINEVYO UNAKARIBISHA CHUNUSI NA USO ULIOFUBAA!!

UKIJA @AK COSMETICS TUTAKUPATIA USHAURI WA BURE NINI KINAFAA KWA WAKATI GANI!!

>>>PROACTIV SOLUTION SET @AK CLASSIC COSMETICS

HII N DAWA MAARAFU NA NZURI SANA KWA MATATIZO YA CHUNUSI USONI

KUNA CLEANSER,TONER & REPAIRING TREATMENT LOTION PLUS BONUS GREEN TEA MOISTURIZING LOTION &DEEP CLEANSING WASH.

MUONEKANO WAKE KWA NJE!!

Monday, October 1, 2012

Rusk W8less Plus Hairspray is a wish come true for this flathead,lolz@AK Cosmetics..


Rusk W8less Plus Hairspray is not your typical hairspray. It contains Thermaplex, a unique combination of ingredients that activates with the heat of a blow-dryer to provide shine and control. You spray onto the roots of WET (okay towel-dried) hair if you want volume. Make sure your hair is still damp when you blow dry to get awesome poof! Spray on more after styling for extra hold.

>>>Aveeno Facial Scrub....

If you’re not not using a face scrub, you need to be, especially if you are over 40. At this age, exfoliation is key to keeping skin fresh and youthful. After much experimentation, I’ve discovered an idyllic scrub–Aveeno Positively Ageless Resurfacing Scrub.

>>>Wewe tu na kitambi chako,kama unataka iwe siri yako SHAPEWEAR zinapatikana AK Cosmetics.

BlackSpanx3
Celebrities know all the tricks to instantly appear to drop 5, 10 or even 10 kg.

Maybelline the Colossal Volum’ Express CAT EYES Mascara

\"Maybelline
Umesoma vizuri heading?