MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, January 7, 2021

Tuesday, June 2, 2020

je unapata stress na nywele?hii hapa mwisho wa matatizo #t444z

moja kati product inayofanya vizuri sana sasakwenye swala zima la kukuza,kujaza,kuzuia kukatika katika na nywele kushine hii hapa #t444z

vaseline pendwa,hii hapa!!our best selling product 2018/19&20

ama kwa hakika hii imekuwa kivutio kikubwa kwa wateja wetu wengi kwa kipindi cha miezi 3 mfululizo

Tuesday, November 26, 2019

MWAROBAINI WA NYWELE!!

UNA TATIZO NA NYWELE ZAKO?

YAMERUDI KWA KASIIIII!!! #VASELINE GEL

HAYA MAFUTA YAMERUDI KWA KASI #VASELINEGEL YANAFANYA KAZI ZAODI YA MOJA... WATU WAMEWANZA KUYAELEWA SASA,UNAWEZA KUYAMIX KWENYE NMAFUTA YAKO PENDWA AMA UKAPAKA YENYEWE NA BADO YAKAWA KONKIIIIII

Tuesday, October 22, 2019

JE OVERSWEATING KWAKO NI TATIZO?#RELAX

KAMA UNASUMBULIWA NA KUSWEAT SANA MPK KUWOWESHA NGUO RELAX AKCOSMETIS TUMEKUJA MA TIBA MUBASHARA! #ABSOLUTETORR

kiboko ya rangi ya pesa!! 3EXTREMEGLOW

JE UNATAKA RANGI YA PESA?HII NDIO SIRI YENYEWE 3EXTREME GLOW SET

Thursday, December 13, 2018

Wednesday, October 31, 2018

KWANINI MTOTO WA KIKE UFUBAE?

UNAWEZA KUWA MWEUPE LAKINI UMEFUBAA NA MWENZIO AKAWA  MWEUSI LAKINI ANA NURUUU, UKIJA AK COSMETICS TUTAKUONESHA MADINI YA KUPAKA UKAWA NA NURUU, HII #CARROTGLOW FULL SET YENYE LOTION,SERUM,SABUNI MPK CREAM ZUR NI MOJA KATI YA MADINI YA KUKUPA RANGI YA PESAA! BEI NI NZURI MNOOOO KUANZI EFU 60  KUENDELEA

hii tunaiiita! THE MUST HAVE

MOJA KATI YA DEODRANT INAYOTAMBA SANA SASA SOKONI!! #SECRETDEODRANT UTAIPATA KWETU KWA 25000 TU

Tuesday, May 1, 2018

Je Una Uso wa MAFUTA NA chunusi?

Ukikuta una uso wa mafuta na pia una chunusi alafu huna kitu maalum cha kuoshea Uso Wee unafanya Kosa Kubwa Sana tena la Jinai...Ufanye nn? Lzm uwe na kitu cha kukausha mafuta na kitu chenyewe si kingine ni Neutrogena CLEANSER.

Friday, March 23, 2018

Tuesday, March 13, 2018

NEW ARRIVALS

Mali mupyaaaa @ak_classic_cosmetics #Mlimanicity imeshuka kuanzia designer's perfume, Hair products, Makeup, make up brushes n.k wahi Ujionee bidhaa a za ukweli kutoka UsA

Wednesday, November 29, 2017

ILIKUWEPO/IPO/ITAKUWEPO TOKA MWAKA 1947 BADO INASUMBUA!!

CLEAR ESSENCE ORIGINAL UKIIPATA HAIWEZI HAIWEZI KUKUDANGANYA KAMWEEE UWE NA NGOZI YA MAFUTA AMA KAVU!IPATE KWETU HUTOJUTRAA!! 

JE UMEPAKA HII KITU LAKINI HUJAIKUBALI?SASA TUNA NAMNA MPYA YA KUKUFANYA UIPENDE!!

KAMA KUNA KITU INAFANYA VIZURI SANA SAIVI NI QUEEN ELIZABETH ILIYOMIXIWA NA SERUM,MATOKEO YAKE NI MUBASHARA!!!!

Friday, August 11, 2017

#SLEEEP CAP IS A MUST HAVE FOR EVERY WOMAN WHO LOVES HER HAIR!!!

WENGI WETU TUNAPENDA KULALIA COTTON BILA KUJUA MADHARA YA COTTON KWENYE NYWELE!! COTTON HUPELEKEA NYWELE ZAKO KUKATIKAKATIKA NI KATI YA CHANZO KIKUBWA SANA CHA NYWELE KUKATIKA KATIKA,ILI UONDOKANE NAN HALI HII UNASHAURIWA UVAE MATERIALN YA SATIN ILI NYWELE ZIWE SALAMA, #SLEEP CAP ITAZILINDA NYWELE ZAKO ,ITAONGEZA MNG'AO NA KUZIKINGA DHIDI YA MAHARAMIA WAHARIBIFU!! IWAHI SASA KWA TSH. 25000 TU.